Latest episode
6. Wewe ni Influensa ama Influenza?
10:07||Season 1, Ep. 6Social media Influencing ni moja ya mjadala unaoibuka mara kwa mara kwenye mitandao ya kijamii na ni moja ya path ambayo watumiaji wengi wa mitandao wanatamani kuipitia. Ungana nami kufahamu kuhusu social media influencer
More episodes
View all episodes
5. Je CLUBHOUSE imekufa?
09:25||Season 1, Ep. 5Easy come, Easy go wazungu wanakwambia na ndio kitu kinachomkuta Clubhouse kwa sasa baada ya kuanza kukimbiwa na wateja wake ikidaiwa almost 90% ya downloads zake zimeshuka. Nini maoni yako kuhusu suala hili ?4. Affiliate Marketing - Part one #DijitoMasterclass
08:27||Season 1, Ep. 4Kwenye epsode hii nitatoa darasa juu ya Affiliate marketing. Darasa hili nitalitoa kwenye part mbalimbali, Hakikisha unasikiliza mwanzo hadi mwisho3. Boss Mpya Twitter yaliyomo yamo?, Vita ya Spotify na AI bado mbichi, Linkedin atimuliwa china
11:21||Season 1, Ep. 3"Mambo ni mengi, Muda mchache" hivyo ndivyo ninaweza kusema kwenye Tech ecosystem ya dunia wiki hii. Kama kawaida kwa gharama ya Tsh 00 nimekukusanyia yote kwenye epsode hii2. Google Bard kiboko ya Chat gpt, Pixel 7a bei ya kizalendo, Google na Adobe kunani?
10:35||Season 1, Ep. 2Tukio kubwa linalowaunganisha watu wa Tech kote ulimwenguni limefanyika Tar 10 mwezi huu. Nimesummarize mambo yote makubwa muhimu unayotakiwa kufahamu kwenye tukio hili kubwa zaidi ulimwenguni.1. Whatsapp Yachambwa, Feature rasmi ya wachepukaji yazinduliwa , AI yatikisa #dijitoupdates
07:09||Season 1, Ep. 1Meta imezindua Update mbalimbali kwenye products zao hususani Whatsapp na Instagram. Pitia Epsode hii ufahamu mengi zaidi kuhusu Update Meta wamefanya