Share

cover art for Whatsapp Yachambwa, Feature rasmi ya wachepukaji yazinduliwa , AI yatikisa  #dijitoupdates

Dijito

Whatsapp Yachambwa, Feature rasmi ya wachepukaji yazinduliwa , AI yatikisa #dijitoupdates

Season 1, Ep. 1

Meta imezindua Update mbalimbali kwenye products zao hususani Whatsapp na Instagram. Pitia Epsode hii ufahamu mengi zaidi kuhusu Update Meta wamefanya

More episodes

View all episodes

  • 6. Wewe ni Influensa ama Influenza?

    10:07||Season 1, Ep. 6
    Social media Influencing ni moja ya mjadala unaoibuka mara kwa mara kwenye mitandao ya kijamii na ni moja ya path ambayo watumiaji wengi wa mitandao wanatamani kuipitia. Ungana nami kufahamu kuhusu social media influencer
  • 5. Je CLUBHOUSE imekufa?

    09:25||Season 1, Ep. 5
    Easy come, Easy go wazungu wanakwambia na ndio kitu kinachomkuta Clubhouse kwa sasa baada ya kuanza kukimbiwa na wateja wake ikidaiwa almost 90% ya downloads zake zimeshuka. Nini maoni yako kuhusu suala hili ?
  • 4. Affiliate Marketing - Part one #DijitoMasterclass

    08:27||Season 1, Ep. 4
    Kwenye epsode hii nitatoa darasa juu ya Affiliate marketing. Darasa hili nitalitoa kwenye part mbalimbali, Hakikisha unasikiliza mwanzo hadi mwisho
  • 3. Boss Mpya Twitter yaliyomo yamo?, Vita ya Spotify na AI bado mbichi, Linkedin atimuliwa china

    11:21||Season 1, Ep. 3
    "Mambo ni mengi, Muda mchache" hivyo ndivyo ninaweza kusema kwenye Tech ecosystem ya dunia wiki hii. Kama kawaida kwa gharama ya Tsh 00 nimekukusanyia yote kwenye epsode hii
  • 2. Google Bard kiboko ya Chat gpt, Pixel 7a bei ya kizalendo, Google na Adobe kunani?

    10:35||Season 1, Ep. 2
    Tukio kubwa linalowaunganisha watu wa Tech kote ulimwenguni limefanyika Tar 10 mwezi huu. Nimesummarize mambo yote makubwa muhimu unayotakiwa kufahamu kwenye tukio hili kubwa zaidi ulimwenguni.