Share

cover art for Je CLUBHOUSE imekufa?

Dijito

Je CLUBHOUSE imekufa?

Season 1, Ep. 5

Easy come, Easy go wazungu wanakwambia na ndio kitu kinachomkuta Clubhouse kwa sasa baada ya kuanza kukimbiwa na wateja wake ikidaiwa almost 90% ya downloads zake zimeshuka. Nini maoni yako kuhusu suala hili ?

More episodes

View all episodes