Share

cover art for Google Bard kiboko ya Chat gpt, Pixel 7a bei ya kizalendo, Google na Adobe kunani?

Dijito

Google Bard kiboko ya Chat gpt, Pixel 7a bei ya kizalendo, Google na Adobe kunani?

Season 1, Ep. 2

Tukio kubwa linalowaunganisha watu wa Tech kote ulimwenguni limefanyika Tar 10 mwezi huu. Nimesummarize mambo yote makubwa muhimu unayotakiwa kufahamu kwenye tukio hili kubwa zaidi ulimwenguni.

More episodes

View all episodes