Share

cover art for Beki Tatu na Changamoto zake

Koma podcast

Beki Tatu na Changamoto zake

Season 1, Ep. 4

Je, unaweza kumuacha mumeo kisa dada wa kazi ?

Mume wako ni sawa kupikiwa chakula na dada wa kazi ?

Na uchawi nao upo au ni kisingizio tu ?



More episodes

View all episodes

  • 6. Michepuko

    19:18||Season 1, Ep. 6
  • 5. Gen-Z na Lifestyle yao

    19:59||Season 1, Ep. 5
    Malezi ndani ya familia zetu siku hizi yako vipi? Nani anatakiwa kuchungwa zaidi—mtoto wa kiume au wa kike ? Hasa hawa watoto wa 2000
  • 3. Vikwazo na Mafanikio

    19:24||Season 1, Ep. 3
    Kwenye hii episode yetu ya KOMA Podcast, Tumekutana na Nanga pamoja na Tiko, tukachambua ukweli wa maisha: ile hali ya kuwa ya mafanikio au kutoboa na mategemeo ya watu kwako katika jamii yetu pamoja na matokeo yanayokuja pale unapochagua kujipa kipaumbele.
  • 2. MAISHA, UBABE & MITIKASI YA SOUTH AFRIKA - PAUL KONYAKI

    28:33||Season 1, Ep. 2
    Katika episode hii, Paul konyaki akisimulia safari yake, mitikasi na maisha ya South AfricaUsikose kusikiliza hii story ya ukweli—ya hisia, mafunzo, na maisha ya kweli.
  • 1. Umri na Ndoa

    20:58||Season 1, Ep. 1
    Kuna kigezo chochote Cha kutizama kabla ya Kuoa au Kuolewa? Je, Kuoa au kuolewa ukiwa na Umri mkubwa kuna athari zozote ??Kwako mwana KOMA..Mjadala huu ni mzito na haupaswi kukupita!