Koma podcast

  • 6. Michepuko

    19:18||Season 1, Ep. 6
  • 5. Gen-Z na Lifestyle yao

    19:59||Season 1, Ep. 5
    Malezi ndani ya familia zetu siku hizi yako vipi? Nani anatakiwa kuchungwa zaidi—mtoto wa kiume au wa kike ? Hasa hawa watoto wa 2000
  • 4. Beki Tatu na Changamoto zake

    31:10||Season 1, Ep. 4
    Je, unaweza kumuacha mumeo kisa dada wa kazi ? Mume wako ni sawa kupikiwa chakula na dada wa kazi ?Na uchawi nao upo au ni kisingizio tu ?
  • 3. Vikwazo na Mafanikio

    19:24||Season 1, Ep. 3
    Kwenye hii episode yetu ya KOMA Podcast, Tumekutana na Nanga pamoja na Tiko, tukachambua ukweli wa maisha: ile hali ya kuwa ya mafanikio au kutoboa na mategemeo ya watu kwako katika jamii yetu pamoja na matokeo yanayokuja pale unapochagua kujipa kipaumbele.
  • 2. MAISHA, UBABE & MITIKASI YA SOUTH AFRIKA - PAUL KONYAKI

    28:33||Season 1, Ep. 2
    Katika episode hii, Paul konyaki akisimulia safari yake, mitikasi na maisha ya South AfricaUsikose kusikiliza hii story ya ukweli—ya hisia, mafunzo, na maisha ya kweli.
  • 1. Umri na Ndoa

    20:58||Season 1, Ep. 1
    Kuna kigezo chochote Cha kutizama kabla ya Kuoa au Kuolewa? Je, Kuoa au kuolewa ukiwa na Umri mkubwa kuna athari zozote ??Kwako mwana KOMA..Mjadala huu ni mzito na haupaswi kukupita!
loading...