Share

cover art for Circle Sessions S01 EP02 - Mafanikio ni nini?

Circle Sessions

Circle Sessions S01 EP02 - Mafanikio ni nini?

Season 1, Ep. 2

Wakati tunatafuta maana halisi ya mafanikio yetu na kupambana kuzifikia ndoto zetu tusiache kutafuta kufanikiwa kwenye yale tunayotamani kuyafikia. Lakini ni nini kitaleta maana halisi ya mafanikio kwako?

Mafanikio yanaweza kuwa na maana tofauti sana kulingana na mitazamo, hali mbalimbali za maisha na mazingira tunayoishi.

Je! wewe unayaona mafanikio kwa mtazamo upi?

More episodes

View all episodes