{"version":"1.0","type":"rich","provider_name":"Acast","provider_url":"https://acast.com","height":250,"width":700,"html":"<iframe src=\"https://embed.acast.com/$/65671e1f77cca900123afbcd/667d4d9c2036786e1964cb66?\" frameBorder=\"0\" width=\"700\" height=\"250\"></iframe>","title":"Ushirikiano wa Kisekta unavyoleta Maji na Usafi Iringa","thumbnail_width":200,"thumbnail_height":200,"thumbnail_url":"https://open-images.acast.com/shows/65671e1f77cca900123afbcd/1719487649504-8aac80d9d44dd9bb429ade5b8f7d52db.jpeg?height=200","description":"<p>Katika kipindi hiki cha mfululizo wa vipindi vya mradi wa ASWA, tunaungana na Remijius Sungu, Mtaalamu wa Maji na Usafi kutoka UNICEF Tanzania, Khadija Haroun, Afisa Afya Mkoa wa Iringa, na Gasto Mgeni mnufaika wa mradi huo, wakijadili waliyojifunza kuhusu nguvu ya ushirikiano iliyojificha katika kuharakisha upatikanaji wa Maji na Usafi wa Mazingira kwa wote. Mwongoza mjadala ni Mtetezi wa vijana Rashid Malekela kutoka Tanzania. Karibu ushuhudie jinsi sekta muhimu zinavyoungana na kulinda Afya za Binadamu na Mazingira mkoani Iringa.</p>","author_name":"IRC and UNICEF"}